Karibu British School, Fomu za kujiunga zinapatikana Shuleni..

Kuhusu Sisi

The British School, ni shule inayotoa mafunzo ya Elimu ya sekondari Huria (Open school education) ambapo wanafunzi wanasoma na kupata cheti cha kidato cha Nne na Sita (Form IV & Form VI), Pia tunatoa kozi za muda mfupi kwa ngazi ya cheti...Soma Zaidi

Maono Shule

To empower students to acquire knowledge and skills, that will contribute to full participation to a changing world with regard of their dignity, liberty and security at large

Ujumbe Shule

To impart knowledge which is full of skills of which will enable young girls and boys to be active, creative and Innovative in using science and technology to support personal and national economic arena.

Principal

KARIBU

Napenda kutumia muda huu kuwashukuru Wazazi,Walezi na Wanafunzi wote, bila kuwasahau Walimu na Wafanyakazi wote wa The British school, kwa moyo wenu wa upendo na uaminifu mliounyesha katika kuijenga shule yetu. Napenda kuwaahidi kuwa, pamoja na kwamba shule imekua ikifanya vizuri tangu kuanzishwa kwake mwaka 2015 ikiwa ni pamoja na matokeo mazuri yaliyoifanya shule kuongoza kwa mwaka wa masomo 2017/2018, nawaahidi kuwa nitaendelea kushirikiana na wafanyakazi wenzangu kwa kuweka bidii kubwa zaidi katika ufundishaji na kuimarisha nidhamu kwa kiwango cha juu Zaidi, ili shule yetu iendelee kuongoza kwa matokeo mazuri kila mwaka.

Asanteni na Mungu azidi kuwalinda na kuwabariki.

“KWA MOYO MKUNJUFU NASEMA, KARIBUNI SANA THE BRITISH SCHOOL”